
TOPIC :
MATENDO MEMA YANAMURUDILIYA ALIYE YATENDA AOJAMAA YAKE/
INEZA IRAGARUKA.
Texte : 2 Samweli 9:1-7
[1]Kisha Daudi akasema, Je! Amesalia mtu mmoja katika nyumba ya Sauli, nipate kumtendea mema kwa ajili ya Yonathani?
[2]Palikuwa na mtumishi mmoja wa nyumba ya Sauli, jina lake Siba, basi wakamwita aende kwa Daudi; na mfalme akamwuliza, Wewe ndiwe Siba? Naye akasema Mimi, mtumwa wako ndiye.
[3]Mfalme akasema, Je! Hakuna hata sasa mtu ye yote wa nyumba ya Sauli, nipate kumtendea mema ya Mungu? Siba akamwambia mfalme, Yonathani anaye mwana hata sasa, aliye na kilema cha mguu.
[4]Mfalme akamwambia, Yuko wapi? Siba akamwambia mfalme, Tazama, yumo katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari.
[5]Basi mfalme Daudi akatuma watu, akamwondoa katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari.
[6]Basi Mefiboshethi, mwana wa Yonathani, mwana wa Sauli akaenda kwa Daudi, akaanguka kifudifudi, akasujudu. Daudi akasema, Mefiboshethi! Naye akaitika, Mimi hapa, mtumwa wako!
[7]Daudi akamwambia, Usiogope, maana bila shaka nitakutendea mema; kwa ajili ya Yonathani, baba yako, nami nitakurudishia mashamba yote ya Sauli, baba yako; nawe utakula chakula mezani pangu daima.
Hapa tutagusiya Upendo wa Yonathani alioupenda Daui ulikuwa upendo usio na unafki ukipenda kupendwa penda kwanza ndunguyako ao jirani yako Daudi alirudusha upendo kwa Mefibosheti kwaajili ya upendo wababayake Yonathani alio upenda Daudi navitu Yonathani alivyo mupa Daudi hapo awali.
Tukisoma 1Samueli:18:1.Ikawa Daudi alipokwisha kusema na Sauli roho ya Yonathani, ikaaambatana na roho yake mwenyewe.
18:3 Yonathani na Daudi wakaahidiana, kwa kuwa alimpenda kama roho yake mwenyewe
- Ndipo Yonathani akalivua joho alilokuwa amelivaa,akampa Daudi namavazi yake,hata na upanga wake pia ,upinde wake,na mshipi wake. 1Samweli20:4 Ndipo Yonathani akamwambia Daudi,Kadiri roho yako itakavyo, nitakutendea.
Kadiri upendavyo wengine ndiyo kiwango utakavyo pendwa nawewe yale utendayo ndiyo yatakurudiliya wewe binapfsi ahadi vizazi vyako navizalikio vyako.
(Yonatani abwira Dawidi ati icyo umutima wawe ushaka cyose nzagikora).