💟✝️TOPIC: NILAZMA HAMANI AJUWE KABILA LETU
Niyamaana kwa upande wetu sisi wa Kristo Shetani ajuwe kabila letu kamasisi niwa ukoo wa Kristo kama vile Hamani aliwai kujuwa ukoo wala kabila la Moridekayi.
Esta 3:5-6
[5]Hata Hamani alipoona ya kwamba Mordekai hainami wala kumsujudia, alighadhibika sana.
[6]Akaona si shani kumtia mikono Mordekai peke yake; maana wamemjulisha kabila yake Mordekai; kwa hiyo Hamani alitaka kuwaangamiza Wayahudi wote waliokuwa wakikaa katika ufalme wote mzima wa Ahasuero, yaani, watu wake Mordekai.
Hata kama Hamani ali taka kumuuwa Mordekai kwasa babu amekataa kumutii naku muinamiya ali kasirika sana wala ame ghadhibika sana ndipo akasema sita muuwa Mordekai peke yake nita wauwa wayahudi wote lakini kwa Maombi ya Esteri na wayahudi wote waliyo muliliya Mungu wao Mipango mibaya ya Hamani iri murudiliya mwenyewe Mkewe namarafiki zake zote waka muambia kama Mordekai huyo ni wa Kabila ao uzao wa wa Yuda hauta muweza hataanguka mbele zako bali wewe utaanguka mbele yake nautakufa wewe kabla yeye kufa.
NB: Nilazma Shetani ajuwe kabila letu nawakina Hamani maadui zetu inabidi wajuwe kama sisi niwatu wa Mungu.
EV Kamuhora jacques Ntwayingabo