
Kwenye mitandao wame toa Maoni kuhusu Governement yao, hawo ni laiya kutoka Kivu Kasikazini mwa inchini Jemuhuli ya kidemicarasi ya Congo (RDC).
Wakwanza ni Bwana M. Bravo, amesema hivi: “Shukrani kwa wana habari ambao wame tupa mda wa kuzungumuzia kuhusu vita vinavyo endelea mashariki mwa DRC
Hasa zaidi Sud kivu na Nord kivu
Kwa ukweli uki angalia vita ambavyo vime sababisha watu ma elefu kuyahama makwao
Vita hii imeletwa na wakuu viongozi wa serekali
1 wakuu viongozi wa kisiasa kuchochea chuki ya ukabila kwa lahia
Wamoja waki wa ambia lahia kama kuna wenyeji wa nchi na wale wengine sio wenyeji wa nchi
- tuki kumbuka maneno ambayo yameongelelewa na wamoja kati ya wanabunge na viongozi wengine
Kama
1 Justin Bitakwira
2 CLAUD Misare ( Mbunge ambae ame teuliwa na rahia katika tarafani uvira)
3 Bwana Nzangi ( Mmoja kati ya viongozi wa Nord kivu
Wafanya siasa hawa wamekua na Mikutano mara kazaa waki onyesha rahia kama kuna wale wana sitahili kuishi yaani ni wao wenyeji wainchi nawe ngine sio wenyeji wa inchi - Neno lifuatalo nikwamba serekali ya DRC ime wapa makao wa asi kutoka nchi zingine kama
1 Uganda ( ADF)
2 Rwanda( FDLR, RNC, RUD urunana, P5)
3 Burundi ( RED TABARA,FNL, FORBU)
Wa asi hawa wote kutoka inchi kama hizo tumesema
Wote wamepewa na fasi ya ku ishi hata na kufanya Kazi zakijeshi
Katika mashariki ya RDC kwa ruhusa wame pewa na Serekali
Chanzo ya vita hivyo ni serekali yenyewe kutoku kua na musimamo wa kuzuia yeyote kutoka nchizingine
Kwa kuepuka shida za nchi ambazo wa asi hao wametoka
Suluhisho ni 1 peke
Ni mabadiriko ya serekali na kuwa wekea mashitaka wale wote ambao wana chochea chuki kati ya ma kabila.”
Aksante.
Muramira Rukunzangabo, naye amesema hivi:
“Shida tulipata ni selekali yetu ya congo ndiyo inasababisha umakabila
Kwa sababu inchi inayo mabunge
Wa kuteuliwa
Inayo mawaziri
Wanao husika na
Vitu vingi inchi
Inchi inayo Raïs
Muteuliwa kwa Nini
Wenyeji wa inchi wabaguliwe Mahali
Raïs yupo kwa mfano Mututsi
Mukongo aonenewe kwa sura yake
Kwa lugha yake
Natena ni mwenyeji wa inchi tangu Afrique iwepo
Turudi kihistoria ya inchi uhamiaji
Mukubwa wawatu weusi
Unasititiza kwamba karne 15 ndipo tuka ingiya kongo
Makabila iliyo ingiya wakati huo
Ni pygmées
Bantous
Nilotiques
Soudanais
Nasisi wa Tutsis
Niukoo wahao nilotiques
Lakini chamushangao tunabaguliwa
Serikali inabidi
Kutowa chuki ndani yauongozi
Chapili fwata njiya ya Maendeleo isipo kuwa inchi Yetu
Ndiyo haina Mabarabara yakabulimbo
Chunguza inchi zinazo tuzunguka zinazo barabara
Cha tatu hatuna mahakama yakuazibu wafanya maovu
Jameni Congo tuige uongozi bora
Sawa inchi nyingine
Madini tunayo lakini wakongomani
Ndiwo maskini
Kuliko wengine
Inchi zinazo
Tuzunguka
Zinatuzidi kujua kutumiya uchumi wao
Wakongomani tunafikiya mwaka wa 2023
Gisi zingine inchi
Ziko kwaleo Sisi
Tukonyuma mupaka lini.”




