Machafuko yameanza kushuhudiwa kwenye vituo kazaa vya uchaguzi wa leo inchini CONGO (DRC).
Leo nisiku ya uchaguzi wa kitaifa nchini DRC.
Asubui namapema kuanzia aaa kumi na mbili alfajiri ndipo Ofisi zime anza kufunguliwa.
Lakini Chakushangaza tayari kuna vituo vya uchaguzi vimeanza kushuhudia machafuko.
Kwenye mji wa BUNIA Jimbo la ITURI, wananchi wame gubikwa na asira wakavamia kituo kimoja cha uchaguzi cha “ISP Bunia” kisa wanadai maandalizi ya uchaguzi eneo hilo haya kuandaliwa vizuri eti kuna dosari nyingi.
Hivo Basi wakavunjavunja vifaa za uchaguzi machine makaratasi na masanduku yote yame haribiwa.
Baadaye Police ilikuja ikawatawanya kutumiya silaha.
Swali langu ni hili : Je! Eneo hili litawezeshwa tena kufanya uchaguzi? Utulivu utawale nchini Kongo?
Bruce Bahanda.