Siku yamwisho ya kampeni DRC, Kandideti nambari 20 bwana Félix Tshisekedi,amewatangazia wafuasi wake Vita kati ya Rwanda na DRC, ijapo akishinda uchaguzi.
Tarehe 18 Mwezi wa 12/2023, ndio siku yamwisho yakufanya Kampeni,ya uchaguzi utakao fanyika tarehe 20/12/2023.
Kandideti nambari 20 amesikika akinyoshea mkono walawama nchi ya Rwanda haswa rais Paul Kagame,
Amesema Félix Tshisekedi akishinda uchaguzi alafu kwabahati mbaya M23 nawenye wanaisadia wapige Lisasi Pembezoni mwa Muji wa GOMA ama ndani ya Muji,papo hapo tutaivamia Rwanda.
Matamushi yake yame shabikiwa nawafuasi wake.
Alitamuka maneno hayo akiwa Kinshasa Mji mkuu wa DRC,kwa uwanja wa Mtakatifu Thérèse.
Nahabari zakuaminika kulikuweko na umati mkubwa mno.
Akasema tena niki mnukuu: “Paul Kagame anaeza cheza nawatu wengine ila si Félix Tshisekedi.”
Akasema tena : ‘Niko tayari kutumia kifungo cha 86 cha katiba ya DRC ambacho kinasema “kulinda nchi na mipaka yake.”
Kulingana na kampeni ya nambari 20 Felix Tshisekedi alisikika mara nyingi akisema sana Rwanda, Rwanda ao Paul Kagame.
Unaweza jiuliza swali: “Je huyu Kagame naye ako kwenye debe pamoja nahuu nambari 20?”
Nivizuri kufanya kampeni na kuuza sera wala sikupanda chuki kwawana nchi wala kwamajirani.
Ni siku mbili tuingie Kwenye uchaguzi, je ninani unapea chance yakushinda huu uchaguzi ?
By Wilson GIGI.