Wakaaji wa Bibokoboko wako kwenye hatari yakuvamiwa na waasi wa Mai Mai(wazalendo) wakiungana na “FDLR” na”FNL”.
Bibokoboko, inapatikana pa tarafa ya Fizi, mkowa wa Kivu kaskazini, nchini DRC.
Bibokoboko, nimiongoni ya vijiji vyingi vilivyo kumbana nashida zakuvamiwa marakwamara nahao waasi tumetaja hapo juu.
Chakushangaza nikuwa jeshi la DRC yaani FARDC ambao walikuwa wakilinda usalama wawatu hao wa Bibokoboko walitoka eneo hilo bila kuacha hata moja.
Ukumbukwe yakwamba watu jao wako kwenye kambi, yaani niwakimbizi wandani.
Baada yakuondoka kwa jeshi la taifi raia jao walikumbwa na wasiwasi kuhusu Usalama wao.
Kwasasa habari tunazo nikwamba adui anaonekana karibu sana na Eneo hilo akijiandaa kuvamia raia wasio na hatiya.
Mukumbuke kuwa raia hawa ni kabila moja tu la “wanyamulenge” ambao wamebaguliwa nakufanyiwa mauaji kuchomewa manyumba kuporwa mali nakazalika.
Ombi laraia hao wa naomba Serekali ya DRC “Kutuma wanajeshi Eneo la Bibokoboko haraka iwezekanavyo ili watu hao Wasiangamizwe.”
Mashirika ya kiserekali nayale ya kibinafsi pia nayale yakimataifa “Tafadhalini muvuke mipaka yaubaguzi muwanusuru watu ambao wako kwahatari yakumalizwa.”
Swali Ambalo Watu wote wanajiuliza : “Je mbona serekali iondowe wanajeshi wake Eneo hilo hatari kwausalama wa raia ?”
Wilson Gikundiro.